Celebrate Earth Day by splitting your fare

This Earth Day, 22 April 2017, we encourage you to start making those small changes which will ultimately add up to making a difference to our planet. Did you know that you can reduce congestion, fuel consumption and carbon emissions simply by ditching your keys and sharing a ride with friends or family? One of […]

Uzoefu Bora kwa Wateja

Tunatamani kuwa moja wapo ya taasisi ambayo inatoa huduma nzuri na ya kuridhisha katika Afrika Mashariki. Hii ina maana ya kujiwekeza kwa watu wetu na sehemu mbalimbali ili kutoa uzoefu unaoridhisha, katika  muda muafaka na kwa ubora unaofaa. Hii si kwa ajili tu ya watu wanaotumia usafiri wa Uber bali hata kwa madereva washirika wetu […]

Usaidizi kwa kubonyeza kitufe

Uber, sisi hufanya jitihada usiku na mchana ili kutoa huduma iliyo bora zaidi kadri iwezekanavyo kwa madereva na abiria katika miji yote duniani kote. Lakini pia tunafahamu kuwa ni lazima kutakuwa na nyakati ambazo utahitaji kuwasiliana na sisi: mkoba umesahaulika kwenye gari, nauli isiyo sahihi, tatizo kwenye programu yako. Unapohitaji kuwasiliana na sisi, lengo letu […]

Jinsi ya kumtathmini dereva wako

Uber imedhamiria kutoa huduma bora kwa pande zote. Njia mojawapo ni kupitia mchakato wa tathmini ya nyota 5 katika kila safari. Wasafiri huwatathmini madereva kulingana na uzoefu wao na madereva hufanya hivyo pia. Jijini Dar es Salaam, tumeweka kiwango cha  tathmini ambacho  madereva wanatakiwa kukifikia ili kuweza kuingia na kutumia mtandao wa Uber. Kama tathmini […]

Je wewe ni msafiri mwenye tathmini ya nyota 5?

Huna hakika? Vizuri, Eric ni msafiri mwenye tathmini ya nyota 5 – kuwa kama Eric! Tunapenda kumsafirisha Eric ndani ya jiji. Madereva-washirika wetu wana hadithi nzuri za kukushirikisha juu yake. Tazama baadhi ya vidokezo muhimu toka kwa Eric mwenyewe ili kujifunza jinsi ya kufanya safari ndani ya jiji kama msafiri bora na kuhakikisha una kuwa […]

#UberCHOMA jijini Dar es Salaam

Ijumaa hii, Februaryi 24, tunawaletea  Nyama Choma bure kabisa kwa wakazi wa Dar Es Salaam. Hauna haja ya kuondoka ofisini kwenda kutafuta chakula cha mchana. Sisi tutakuletea hapo ulipo kwa kubonyeza kitufe tu. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA Fungua programu ya Uber kati ya Saa Sita hadi Saa Tisa mchana siku ya Ijumaa, Februari 24 mjini Dar es […]

Dar es Salaam… Programu ya Uber kwenye lugha ya Kiswahili inawasili sasa!

Hapa Uber, tunaahidi kujitolea kukupa huduma bora ya kudumu, kuanzia pale unapofanya ombi la usafiri hadi dakika ya mwisho unapofikia kikomo cha safari yako. Kama njia moja ya kutekeleza haya, tunapendelea upate fursa ya kutumia Programu tumizi ya Uber katika lugha yako unayoifahamu zaidi. Tunashikwa na furaha tele tunapowatangazia kuwa kuanzia leo, tarehe 16 Februari […]

Protected: Dar Es Salaam, your Swahili Uber app is arriving now!

There is no excerpt because this is a protected post.

Nauli tangulizi na uidhinishaji wa malipo kabla ya kumaliza safari yako ya Uber

Hapa Uber, sisi daima hujitahidi kadri tuwezavyo ili kukupa huduma bora inayodumu, kuanzia pale unapoagiza usafiri hadi utakapowasili sehemu unayokwenda. Ndiyo maana tuna msisimko mkubwa kutangaza kuzinduliwa kwa mfumo wa nauli tangulizi hapa nchini Tanzania! Kukiwa na utambuzi wa awali wa nauli, unachohitajika kufanya ni kuchagua sehemu ya kuchukuliwa na eneo la kushukia, na kifaa […]

Ringing in 2017 in Dar es Salaam

Happy New Year, Dar es Salaam! After several New Year’s Eves under our belt, we’ve learned that millions of people in cities around the world rely on Uber for a safe, reliable ride to and from their celebrations. This year, we wanted to spotlight how riders in Dar es Salaam used Uber when ringing in […]